Haki za Binadamu na Umoja wa Afrika

Haki za Binadamu na Umoja wa Afrika

Subtitle: 
Mwongozo juu ya Taasisi za Kiafrika zenye Majukumu ya Masuala ya Haki za Binadamu
Place: 
Johannesburg
Publisher: 
Human Rights Institute of South Africa (HURISA)
Phys descriptions: 
vi, 129 p. : ill.
Date published: 
2008
Record type: 
Region: 
Corporate Author: 
Human Rights Institute of South Africa (HURISA)
Call No: 
342.7(6):061.1AU HUR
Abstract: 

Tangu kuasisiwa kwake baada ya Umoja wa Nchi Huru za Afrika mnamo 2002, Umoja wa Afrika (AU) umeweka msisitizo wa pekee kwenye masuala ya haki za bonadamu, demokrasia na ushiriki zaidi wa asasi za kiraia katika kufnikisha dira yake. Malengo ya mwongozo huu ni kwanza kuwa rasilimali kwa asasi za kiraia (CSOs) na wahusika katika masuala ya haki za binadmu na pili ni kusaidia mashirika kubuni mikakati ya utetezi katika ngazi ya bara na kanda.

Language: 

CITATION: Human Rights Institute of South Africa (HURISA). Haki za Binadamu na Umoja wa Afrika . Johannesburg : Human Rights Institute of South Africa (HURISA) , 2008. - Available at: https://library.au.int/haki-za-binadamu-na-umoja-wa-afrika-3